Monday, March 10, 2014

VIDEO YA LEO- WIMBO WA Mi Noche [Video Oficial] - Reykon Feat. Kannon ®


MASIKINI YANGA YA "MAGAZETINI'' CHALIIII

1920192_684807694895085_1050206337_n 

Reigning champions Al Ahly are through to the Round of 16 of the CAF Champions League after defeating Young Africans 4-3 on penalties, with full time ending 1-0 in favour of the hosts. 
After being handed a first leg away defeat at the Benjamin Mkapa Stadium, reigning champions Al Ahly managed to qualify for the Round of 16 of the CAF Champions League courtesy of a penalty shoot-out.
Abdullah El-Said could’ve made it 1-0 in the opening 10 minutes but his free-kick went over the bar.
A three-way move between Abdullah El-Said, Mohamed Nagy Gedo, and Amr Gamal resulted in the latter going one-on-one with goalkeeper Deogratius Munishsi ‘Dida’ but the Yanga goalkeeper dealt with it well.
In the second half, the African Champions were much more offensive, but it was Yanga who had a golden chance through Emmanuel Okwi whose finish went inches wide of the post.
The Red Devils responded with a chance of their own when Dida denied Saad Samir from point-blank range.
Al Ahly soon got their goal through Sayed Moawad who volleyed past Dida from the left-hand side.
The Red Castle continued their attacking onslaught, this time Abdullah El-Said’s volley went wide of the post.
El Sayed Hamdy then had a chance of his own to make it 2-0, but his header went over the bar.
Once again the Red Devils were at the centre of trouble when Gedo’s header was saved by Dida.
Yanga had the chance to seal the tie late on when Franko Domayo’s shot went over the bar.
Gedo was once again at the centre of things when his side-footed shot went inches wide of the post.
With full time ending 1-0, an aggregate score of 1-1 the game headed to penalties.
At five penalties each the score was 3-3 to send the game to sudden death.
Mbuyu Twite missed his penalty after Mohamed Naguib scored to send Al Ahly through to the Round of 16.

ARSENAL USO KWA USO NA WIGAN NUSU FAINALI FA

Mabingwa watetezi wa kombe la FA, Wigan imejikatia tikiti ya nusu fainali ya kombe hilo baada ya kuilaza Manchester City kwa magoli mawili kwa moja katika uwanja wa Etihad.
Wigan sasa itachuana na Arsenal katika mechi hiyo itakayochezwa katika uwanja wa Wembley.
Kwa mwaka wa pili mfululizo Wigan imeishinda Manchester City katika kinyanganyiro hicho, mwaka uliopita iliishinda City katika fainali na kutwa kombe hilo.
City, ambayo ilishinda kombe la ligi wikendi iliyopita, ileta kombe hilo uwanjani kabla ya mechi hiyo kuanza, lakini matumaini yao ya kushinda vikombe vitatu msimu huu sasa imetumbukia nyongo.

 
Goli la kwanza la Wigan

Jordi Gomez, aliifungia Wigan bao la kwanza kupitia mkwaju wa penalti, baada ya linda lango wa City kumfanyia madhambi mchezaji wa Wigan.
 
Tulia wewe sisi ndio mabingwa watetezi alaaah
 
J Perch akishangilia goli la pili

Dakika chache baada ya kipindi cha pili kuanza James Perch naye akaongeza la pili.
Manchester City ilipata bao lake la kuvutia machozi kupitia kwa nyota wake Samir Nasri.
Licha ya kufanya mashambulizi kadhaa katika lango la wageni wao, juhudi za City zilizimwa na walinda lango wa Wigan.
 
Mashabiki wa Man City hawaamini kilichotokea



Sergio Kun Aguero na Lescott wakijuta kuwafahamu Wigan





Kushnei yeleeeeeewiiiii

Katika matokeo ya mechi zingine zilizochezwa hiyo jana, Sheffield United iliinyuka Charlton magoli mawili bila jibu, Sunderland nayo ikanyeshewa magoli matatu bila jibu na Hull City.
Katika hatua ya nusu fainali, Wigan kutoana jasho na Arsenal huku Sheffield United ikipepetana na Hull City.