Friday, February 28, 2014

SHEIKH AMWAGIWA TINDIKALI AKIELEKEA MSIKITINI

#HABARI Sheikh Mustafa Mohammed wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Mkoani Arusha amemwagiwa tindikali yeye pamoja na mtoto wake wa kiume na watu wasiojulikana leo alfajiri wakati akielekea msikitini.