Tuesday, November 12, 2013

DIAMOND PLATINUMZ AGEUKIA SARAKASI


Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwasasa nchini Tanzania Naseeb maarufu kama Diamond Platinumz ameonekana pande za Nigeria akifanya mazoezi ya sarakasi nje ya Gym moja nchini humo....Je mkali huyo wa Bongo Flava ameingia katika tasnia hiyo?