Tuesday, August 7, 2012

ARSENAL YAMNASA SANTI CAZORLA


Santi Cazorla akiwa katika uzi wa timu ya taifa ya Spain

Klabu ya Soka ya Arsenal siku ya jumatatu imetangaza kumnasa Kiungo hodari wa Spain Santi Cazorla(27) na kumpa mkataba wa muda mrefu.

Mfahamu zaidi Santi Cazorla

Biography
Full name: Santi Cazorla
Position: Midfield
Date of birth: December 13, 1984
Place of birth: Llanera, Spain
Height: 5ft 6in
Honours
European Championship 2008, 2012
Spanish Player of the Year, 2007

International: 45 appearances (six goals)
Debut: v Peru - May 31, 2008

Previous clubs
YearTeamAppearancesGoals
2011-12Malaga389
2007-11Villarreal12723
2006-07     (loan)
Recreativo345
2003-06Villarreal542
Total25339

SANTI CAZORLA career stats
Season TeamAppearancesGoals
2011/12 Malaga 389
2010/11 Villarreal 375
2009/10 Villarreal 245
2008/09 Villarreal 308
2007/08 Villarreal 365
2006/07 Recreativo 345
2005/06 Villarreal 230
2004/05 Villarreal 292
2003/04 Villarreal 10

BORIS ARITHI KITI CHA STEWART AZAM F.C


Viongozi wa Azam FC wakimtambulisha kocha mpya Boris Bunjak(katikati)

Timu ya Soka ya Azam F.C ya jijini Dar es salaam hatimae imefanikiwa kupata kocha wa kukinoa kikosi chao baada ya kumtimua kocha Stewart aliekipatia mafanikio makubwa kikosi hicho ikiwa ni pamoja na kuiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili ligi kuu Tanzania bara na nafasi ya pili katika kombe la Urafiki na pia aliiwezesha Azam kutinga katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Kagame lililokwisha hivi karibuni.

Azam F.C imemnasa kocha kutoka Serbia na kumpa majukumu ya kukinoa kikosi hicho kwa miaka miwili, namzungumzia Boris Bunjak. Boris amecheza soka na amezinoa timu mbalimbali za Uarabuni,Urusi na Serbia.

CV YA BORIS BUNJAK

FUDBALSKI SAVEZ SRBIJE FA PRO COACHING AWARD
FOOTBALL ASSOCIATION OF SERBIA UEFA PRO DIPLOMA
Adressa: Terazije 35 – Belgrade
Phone : +381 11 3246208



BORIS BUNJAK
Born : 17.11.1954.
Nationality : Serbian
Position : Coach
Languages : English , Rusian , Serbian
Current address : Kraljevo 36000 Veljka Vlahovica 33/15
Serbia
Contact : Serbian mob : +38163 776 44 88
Home number + fax : +38136 322 735
E-mail : bbunjak@yahoo.com
Facebook : Boris Bunjak
www.borisbunjakcoach.com
Education : Higher coach of football
UEFA – PRO LICENCE

Coaching career : 2011 FC „DAMAC“ SAUDI ARABIA- HEAD COACH
2011- FC „ AL NASER“ OMAN – HEAD COACH
2009-10 FC „ AL OROUBA“ OMAN – HEAD COACH
2008-09 FC „ ALL SHAAB“ UNITED ARAB EMIRATES –
TECHNICAL SUPERVISOR
2007-08 FC „ ALL SHAAB“ UNITED ARAB EMIRATES – HEAD
COACH
2006-07 FC „ AL NASER“ OMAN – HEAD COACH
2005-06 FK „ HAJDUK“ Kula – HEAD COACH
2004-05 FC „ALL SHAAB“ UNITED ARAB EMIRATES – FIRST

TEAM COACH
2002-04 FK „CRVENA ZVEZDA“ Beograd – FIRST TEAM COACH
2000-02 FK „ MLADI RADNIK“ Pozarevac - HEAD COACH
1999-00 FK „ URALAN“ Russia - HEAD COACH
1998-99 FK „ RADNICKI“ Nis - HEAD COACH
1996-97 FK „ CRVENA ZVEZDA“ Gnjilane - HEAD COACH
1995-96 FK „JAVOR“ Ivanjica - HEAD COACH
1993-94 INSTRUCTOR IN FA of Yugoslavia
1990-93 FK „ SLOGA“ Kraljevo – HEAD COACH

Playing career :
1967-75 FK „SLOGA“ Kraljevo
1975-78 FK „VOZDOVAC“ Beograd
1978-79 FK „RADNICKI“ Kragujevac
1979-80 FK „ OLIMPIA“ Ljubljana
1980-81 FK „ SUMADIJA“ Arandjelovac
1981-85 FK „SLOGA“ Kraljevo
1985-86 FK „BORAC“ Cacak
1986-90 FK „ SLOGA“ Kraljevo

NDUGAI AFUNGUKA WABUNGE HUINGIA MJENGONI WAMEPIGA "VYOMBO"

Wakati Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likiwa bado kwenye kashfa ya rushwa mapya yameibuka kama "movie" vile tunatoa picha hii tunaweka picha ile na uzuri wa Watanzania huwa hatumalizii picha tunaishia katikati na hii ni nafuu kwa Mafisadi.

Naibu Spika na mbunge wa Kongwa,Dodoma(CCM) amefunguka na kutoa shutuma nzito kwa waheshimiwa kuwa na tabia ya kuingia mjengoni na kuhudhuria vikao vya Bunge wakiwa wamepiga "vyombo" kama vile Sigara kubwa(Bangi),Maji ya Mende(Bia) na nyeupe(madawa ya kulevya),
Amewashutumu Baadhi ya waheshimiwa ambao huonekana kupitia kamera za Mjengoni wakiwa wamelala na kusingizia uchovu.

Hivi ndivyo Mh Job Ndugai alivyofunguka “Kuna wabunge ninavyohisi wanaingia bungeni wakiwa wamevuta sigara fulani kubwa, kulamba vitu fulani au hata kupata bia mbili tatu,” alisema Ndugai akihojiwa jana asubuhi katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha Star tv.
Ndugai alifunguka kuwa madudu hayo hubainika mida ya kuanzia mchana na akalaumu kuwa hakuna hatua zozote zinazochukuliwa pindi "kipande" kinapobainika kimeingia mjengoni huku kikiwa kimepiga "vyombo". “Wabunge ni watu kama watu wengine, wana tabia kama walivyo wanadamu wengine, wapo ambao kwa namna ninavyohisi wanaingia bungeni hasa vikao vya kuanzia mchana wakiwa wamepiga bia,” alisisitiza
Ndugai