Friday, May 20, 2011

LOTUS NJE BIGBROTHER AFRICA

Mshiriki wa Tanzania katika shindano ya Bigbrother Africa 2011 Lotus hatimae ameenguliwa katika shindano hilo baada ya kufanyiana ugomvi na mshiriki mwenzake ajulikanae kama Luclay.